Waziri
Mkuu Mizengo Pinda akimkabidhi zawadi ya picha ya Ngorongoro
Crates
muanzilishi na muandaaji wa shindano la Seven Naturaral Wonders
Bw.Phillip Imler mara baada ya kumalizika kwa hafla ya kutangaza
maajabu
saba ya asili ya Afrika iliyofanyika jana jioni kwenye
Hoteli ya Mount
Meru jijini Arusha.
Vikundi wa ngoma kutoka makabila ya mkoa wa Arusha vilipamba
hafla hiyo kamavinavyoonekana.
Wadau kutoka TTB ambao pia walikuwa ni miongoni mwa
wanakamati ya maandalizi wakiwa katika picha ya pamoja
Mkurugenzi
wa Bodi ya Utalii TTB Dk. Aloyce Nzuki akisalimiana na
Mbunge wa Jimbo
la Iringa mjini Mchungaji Msigwa, Kushoto ni Mh Shah
kutoka Mafia na
mmoja wa wajumbe wa bodi ya Utalii TTB.
Waziri
Mkuu Mizengo Pinda akipiga makofi mara baada ya kumkabidhi tuzo
Mkurugenzi wa Hifadhi za Taifa TANAPA Bw. Allan Kijazi anayenyanyua
juu
juu tuzo ya Mbuga ya wanyama ya Serengeti mara baada ya kuitangaza
mbuga
hiyo kuwa ni moja ya maajabu saba ya asili katika bara la Afrika kwenye
hoteli ya Mount Meru, Kushoto ni Bw Philip Imler Mwanzilishi wa Taasisi
ya
Seven Natural Wonders Bw. Philip Imler.
Tanzania imefanikiwa kushinda kupitia vivutio vyake vitatu vya utalii
ambavyo ni Mlima Kilimanjaro, Ngorongoro Crates na Mbuga ya wanyama
ya Serengeti, hafla hiyo imehudhuriwa na wageni waalikwa mbalimbali ikiwa
ni pamoja na Mabalozi, Wafanya biashara,Mawaziri, Wabunge wa Bunge la
Jamhuri ya Muungano ya Tanzania na wadau mbalimbali wa utalii kutoka
Mataifa mbalimbali katika ukanda wa Afrika Mashariki. Katika picha kulia
ni Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki na Lynn Imler mmja
wa wakurugenzi wa Taasisi ya Seven Natural Wonders.
Wabunge wa bunge la Jamhuri ya Muungano ya Tanzaniaakiwa
katika hafla hiyo.
Viongozi mbalimbali wa dini walihudhuria pia.
Mbunge Mh. James Lembeli akisalimiana na Bw. Mike Teyrol walipokutana
katika hafla hiyo.
Mwanamuziki Mrisho Mpoto na Kundi lake wakitumbuiza wakati wa
utoaji wa tuzo hizo.
Mkurugenzi
wa Masoko wa Bodi ya Utalii Bi Devitha Mdachi akiwa pamoja
na maafisa
wengine wa bodi hiyo wakipokea wageni mbalimbali waliofika katika hafla
hiyo.
Waziri
wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki akizungumza jambo
na
Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Dk. Aloyce Nzuki.
Waziri
wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki akizungumza na
Katibu
Mkuu wa Wizara hiyo Bibi Maimuna Tarishi katikati ni
msaidizi wake Bw.
Miskanji.
Kikundi cha ngoma kikitumbuiza katika hafla hiyo.
Waziri
Mkuu akiwa meza kuu pamoja na viongozi wengine wakati wa utoaji
wa tuzo
hizo za Seven Natural Wonders jijini Arusha jana jioni., kutoka kulia
ni Magesa Mulongo mkuu wa Mkoa wa Arusha, Agness Agunyu Waziri wa
Utalii
kutoka nchini Uganda na kutoka kushoto ni Bw. Philip Imler kutoka
Taasisi ya Seven Natural Wonders na Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi
Khamis Kagasheki.
Mkurugenzi
wa Hifadhi za taifa TANAPA Bw. Allan Kijazi akiwasikiliza
wabunge
waliohudhuria katika hafla hiyo kulia ni Deo Filikunjombe na
kushoto ni
David Kafulila.
Waziri
Mkuu Mizengo Pinda akiongozwa na Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii
Dk.
Aloyce Nzuki wakati alipowasili kwenye hoteli ya Maount Meru kwa
ajili
ya utoaji tuzo hizo.
Mama
Tunu Pinda wa pili kutoka kushoto akiwa katika hafla hiyo, kulia ni
Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) Dk Aloyce Nzuki na katikati
ni Lynn Imler kutoka Seven Natural Wonders.
Mabalozi
mbalimbali waliohudhuria katika hafla hiyo wa kwanza kutoka kulia
ni
Balozi Mutinda Mutiso Balozi wa Kenya Nchini Tanzania.
Waziri
wa Maliasili na Utalii Balozi Khamis Kagasheki akizungumza na mbunge
wa
jimbo la Arusha Mjini Bw. Godbless Lema kabla ya kuanza kwa hafla
hiyo.
Mkurugenzi wa Bodi ya Utalii nchini Tanzania (TTB) Dk. Aloyce Nzuki
akiongea katika hafla hiyo.
Bw Allan Kijazi kushpto akiwa na wadau wengine katika hafla hiyo.
Waziri
Mkuu Mizengo Pinda akimkabidhi tuzo ya Hifadhi ya Ngorongoro Crates
Mkurugenzi wa Hifadhi za Taifa TANAPA Bw. Allan Kijazi katika hafla
hiyo,
kushoto ni Philip Imler wa Seven Natural Wonders.
Mkurugenzi wa Hifadhi za Taifa TANAPA Bw. Allan Kijazi akiongea
katika hafla hiyo.
muanzilishi na muandaaji wa shindano la Seven Naturaral Wonders
Bw.Phillip Imler akizungumza katika hafla hiyo.
Tuzo ya mlima Kilimanjaro ikapokelewa na mhifadhi wa mlima huo
kulia ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda na Philip Imler kushoto.
Balozi Khamis
Kagasheki ambaye pia ni Waziri wa Maliasili na Utalii
akizungumza katika
hafla hiyo iliyofanyika jana kwenye hoteli ya
Mount Meru jijini Arusha.
Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza katika hafla hiyo iliyofanyika jana
kwenye hoteli ya Mount Meru jijini Arusha.
Balozi wa Kenya
nchini Tanzania akizungumza na Balozi Charles Sanga
Mwenyekiti wa Bodi
ya Utalii nchini Tanzania TTB na Mkurugenzi wa bodi
hiyo Dk. Aloyce
Nzuki wakati wa hafla hiyo.