Nyumba inapaswa kuwa nafasi takatifu: mahali unapojisikia salama, na unaweza kumpumzika mwisho wa siku ndefu - pia ni mahala ambapo tunawafurahisha marafiki, na pia panaweza kuwa, mahali pa kufanya kazi au kujifunza.
ARCHITECTURE UK / ALAMY STOCK PHOTO
Ikiwa ndani ya mlima kuna kioo cha mviringo kinachokukaribisha baharini
(CREDIT: EZRA STOLLER/ESTO, COURTESY F2 ARCHITECTU
Ukuta wa nyumba hii uliojengwa na saruji unakupatia madhari ya kisasa ya uwazi wa jangwa
PAUL BARDAGJY
Paa la nyumba hii linaifanya kuwa na joto wakati wa baridi kuwa joto
EZRA STOLLER
Ikiwa imejengwa juu ya mwamba, nyumba hii ya Graham imeshuka mwamba huo kwa awamu nne
LIFEPHOTOWORKS
Nyumba hii iliojengwa kwa kutumia mbao imejengwa ndani ya mazingira ya mteremko
ÍRIS ANN
Nyumba hii ya Bakkaflot imejengwa katika mazingira ya ardhi ilivyo na kuwacha paa likionekana pekee
JESÚS GRANADA
Paa la nyumba hii linafanana na ngozi ya joka kubwa
CHRISTIAN RICHTERS
Nyumba hii inaweza kubadilisha mazingira yake kulingana na hali ya hewa
SERGIO PIRRONE
Sauti ya bahari inasikika katika nyumba hii ya taifa la Chile
ERROL JAY KIRSCH ARCHITECTS
Madirisha ya saruji ya nyumba hii yameongeza kawi ya jua inayoingia