Breaking news kutoka  Multichoice ni kwamba jumba la Big Brother ambalo linaanza kazi jumapili  inayokuja litakua na mastaa saba wa nchi mbalimbali za Afrika ambao  wataingia jumapili na kushiriki kama kawaida, yani sio kwa kipindi  kifupi… wao pia ni sehemu ya washiriki wa shindano hilo linaloshirikisha  nchi 14 za Afrika.
Tanzania haijawekwa kwenye list ya hao mastaa saba na hakuna taarifa za ziada kuhusu hilo lakini kuna uwezekano BBA wakafanya surprise.
Tanzania haijawekwa kwenye list ya hao mastaa saba na hakuna taarifa za ziada kuhusu hilo lakini kuna uwezekano BBA wakafanya surprise.
No comments:
Post a Comment