Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Ukawa, Mhe. Edward Lowassa akifuatana na Mgombea Mwenza Juma Haji Duni leo wamekamilisha zoezi la kurudisha fomu katika tume ya Taifa ya…
Edward Lowassa akimkabidhi fomu ya urais Mwenyekiti wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC), Jaji Damian Lubuva (kulia).
Mgombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na Ukawa, Mhe. Edward Lowassa akifuatana na Mgombea Mwenza Juma Haji Duni leo wamekamilisha zoezi la kurudisha fomu katika tume ya Taifa ya Uchaguzi.
No comments:
Post a Comment