ARUSHA: SOKO LA SAMUNGE LATEKETEA KWA MOTO. MMOJA AFARIKI KWA MSHTUKO
> Vibanda zaidi ya 1,000 vilivyopo sokoni hapo vimeketekezwa na moto
> Kaimu Kamanda wa Polisi Arusha, Koka Moita amesema chanzo cha moto huo bado hakijajulikana
https://youtu.be/zV-JKuUeSrQ
No comments:
Post a Comment