![]()  | 
PILIPILI  | 
Punyeto ( kwa wanaume ) ni kitendo cha mwanaume, kujifikisha mwenyewe kileleni kwa kujichua uume hadi kumwaga mbegu za kiume.   Uchunguzi unaonyesha katika watu wa jinsia ya kiume kumi wenye umri wa kuanzia miaka 16 hadi 45, angalau wanne kati yao wamewahi kupiga punyeto katika kipindi fulani cha maisha yao, na wawili kati yao wanajihusisha na upigaji punyeto.  Uzoefu unaonyesha, asilimia kubwa ya wanaume wanao piga punyeto huanza katika umri wa kubalehe ( miaka 14-16 ), wengine huachana na tabia hiyo mara baada ya kupata wapenzi wa kike ama kuoa na wengine huendelea na tabia hiyo hata baada ya kuoa 
Zipo sababu mbalimbali zinazo wapelekea wanaume kupiga punyeto, ila kubwa kati ya hizo ni pamoja na kutokuwa na wapenzi, kutokuwa na wapenzi wanao kidhi vigezo vyao, kuwa katika mazingira yasiyokuwa na wanawake ( mfano katika shule za sekondari za bweni za wavulana tu ), kujiepusha na hatari ya kupata maambukizi ya v.v.u nakadhalika ATHARI ZA PUNYETO KWA WAVULANA.
Punyeto ina athari nyingi na kubwa sana kwa wanaume wanao jihusisha nayo, lakini kwa leo, tutaangalia athari moja kubwa kati ya nyingi. Athari hii si nyingine bali na KUUA NGUVU ZA KIUME. Mwanaume anayepiga punyeto hutumia nguvu nyingi kuibana mishipa inayo fanya uume usimame.
Mwisho wa siku uume hulegea na kusinyaa, na kukosa nguvu kabisa na hatimaye mhusika kuwa khanithi. Uchunguzi unaoonyesha, kuna idadi kubwa sana ya wanaume wanao sumbuliwa na tatizo la upungufu wa nguvu za kiume kama matokeo ya kupiga punyeto kwa muda mrefu. Athari za mwanaume kutokuwa na nguvu za kiume, nadhani zinajulikana, ila kwa faida ya wote tutazizungumzia kwa kina siku za mbele, lakini kwa ufupi ni aibu kubwa sana kwa mwanaume kukubali kuua ufanisi wa uume wake kwa sababu ya kupiga punyeto.
MUNGU HAPENDI PUNYETO : ( MIONGONI MWA WANANZUONI WA MASOMO YA BIBLIA DHAMBI YA KUPIGA PUNYETO HUJULIKANA KAMA ONANISM )
Kwa mujibu wa maandiko matakatifu, upigaji punyeto ni moja kati ya matendo yanayo muudhi Mwenyezi Mungu, kwa sababu yanapigana na utaratibu aliouweka . Kwenye kitabu cha MWANZO 38:9, Onan mwana wa Yuda aliagizwa na baba yake ( Yuda ) kwenda kumjua mke wa kaka yake ( Onan ) ili aweze kumzalia watoto. ( Kwa mujibu wa mila na desturi za kiyahudi wakati huo, kaka anapofariki bila kucaha mtoto, ndugu wa kiume wa marehemu hutakiwa kwenda kumuoa mjane aliye achwa na kaka yake, na watoto watakao zaliwa watabeba jina la marehemu kaka yake..., aina hii ya ndoa hujulikana kama LEVIRATE MARRIAGE )Biblia inasema, Onan hakutaka kumpa mimba mjane wa kaka yake ilihali akijua watoto watakao zaliwa hawatakuwa warithi wake, hivyo basi kila mara alipokutana kimwili na mjane wa kaka yake, alimwaga mbegu zake pembeni. Biblia inasema katika kitabu kile cha Mwanzo 38: 10 "
" Alicho kifanya kilikuwa ni chukizo kubwa mbele za Mwenyezi Mungu hivyo Mwenyezi Mungu akampa adhabu ya kifo! "

Umeona!  Kumbe  basi  adhabu  ya  kiroho  ya  tendo  la  masturbation  ni  “umauti!”. Umauti  huo  unaweza  usiwe  kama  ulio  mpata  Onan, ila  unaweza  kuja  katika  sura  tofauti. Mfano  kufa  kwa  nguvu  za  kiume, ni   adhabu  tosha  sana    kwa  mwanaume    yoyote  yule  duniani  na  inaweza  kuwa  kali  kuliko  hata  ile  aliyopewa  Onan. 
KWA UPANDE WA UISLAMU:
 MWENYEZIMUNGU ANASEMA MTU ANAYEJITOA MANII KWA MAKUSUDI ATAFUFULIWA SIKU YA MWISHO AKIWA NA MIMBA MIKONONI MWAKE!!!
DAWA    YA  ASILI  NA  YA  UHAKIKA  YA   KUKUFANYA  UACHE  KUFANYA  PUNYETO.
Uzoefu  unaonyesha, mtu  anayepiga  punyeto, hata  kama  ameathiriwa  na  tatizo  la  punyeto  kwa  kiwango  gani, endapo  atafanikiwa  kutopiga  punyeto  kwa  muda  wa  siku  arobaini  mfululizo, mtu  huyo  hatopiga  tena  punyeto  katika  siku  zote  za  maisha  yake  kwani  tayari  mtu  huyo  atakuwa  amerudia  katika  hali  yake  ya  kuto  kuwa  addicted  tena  na  upigaji  punyeto, na  atalichukia  kabisa  hata  jina  la  tendo  hilo  achilia  mbali  tendo  lenyewe.
UFANYE  NINI  ILI  USIPIGE  PUNYETO  KWA  MUDA  WA  SIKU  AROBAINI  MFULULIZO!
Sio  rahisi  kwa  mtu  aliyekuwa  addicted  na  punyeto  kustahimili  kujizuia  kupiga  punyeto   kwa  muda  wa  siku  arobaini  mfululizo. Anaweza  kujizuia  kupiga  punyeto  kwa  siku  mbili  lakini  baada  ya  hapo  ataendelea  tena  na  mchezo  wako.
ATUMIE  DAWA  IPI?
PILIPILI
Pilipili  inayo  hitajika  hapa  ni  yoyote  ile  ili  mradi  iwe  kali  sana,  (  Ila  inayo  pendekezwa  ni  pilipili  mbuzi  ama  pilipili  kichaa, pilipili  hoho  haihusiki  hapa  ).
MATUMIZI
Kwanza  kabla  ya  kujua  matumizi  ni  vyema  ukatambua  muda  ambao  huwa  unapiga  punyeto  (  Mara  nyingi  huwa  ni  asubuhi  baada  ya  kuamka,wakati  wa  kuoga  ama  usiku  kabla  ya  kulala  ).
Chukua  pilipili  zako, zipasulie  kwenye   viganja  vya  vidole  vyako  na  kujipakaza  katika  viganja  vya  vidole  vyako.  Unaweza   kutumia  pili  moja  kwa  kila  kiganja, na  kwa  kila  muda  ambao  huwa  unapiga  punyeto  lakini   unaruhusiwa  kujipakaza  zaidi  ya  pilipili  moja.
Ukishajipaka  pilipili  kwenye  viganja  vya  vidole  vyako, moja  kwa  moja  unakuwa  umekwisha  jilazimisha  kutokufanya  punyeto, kwa  sababu  ukipiga  punyeto  kwa  viganja  ambavyo  vina  pilipili  utawashwa  sana  wala  hautaweza  kufurahia  tendo  hilo.
JAMBO  LA  KUZINGATIA  : Hakikisha  unakuwa  na  walau  pilipili mbili  mpaka  nne  kila  unapokuwa   katika  maeneo  ambayo  yanaweza  kukuchochea  kufanya  punyeto.
UFANISI  WA DAWA  HII : Dawa  hii  inawafaa  wale  tu  ambao  wamedhamiria  kutoka  mioyoni  mwao  kuacha   kufanya  punyeto. Kwa  wale  ambao  hawajadhamiria  haitaweza  kuwasaidia. 
MWISHO,TUNAWATAKIA  KILA  LA  HERI  WATU  WOTE  WATAKAO  AMUA  KUJARIBU  KUTUMIA  NJIA  HII  KUACHANA  NA   SUALA  LA  UPIGAJI  PUNYETO. 
TUTAFURAHI  SANA ENDAPO  MTATUPA    FEEDBACK  BAADA  YA  HIZO  SIKU  AROBAINI  TANGU  MUANZE  KUFANYA  ZOEZI  HILI. MUNGU AWAPE  NGUVU  NA  AWABARIKI.

No comments:
Post a Comment