Hii ndio Kamati Kuu (CC) ya CCM itakayopitisha majina matano ya wagombea
uraisi kwa ajili ya kupigiwa kura na NEC kupata mgombea mmoja.
1. Jakaya Mrisho Kikwete
2. Dr. Ally Mohamed Shein
3. Phillip Japhet Mangula
4. Abdulrahman Kinana
6. Dr. Mohamed Ghalib Bilal
7. Mizengo Kayanza Peter Pinda
8. Balozi Seif Ali Iddi
9. Anna Semamba Makinda
10. Pandu Amir Kificho
11. Rajab Luhwavi
12. Vuai Ali Vuai
13. Nape Moses Nnauye
14. Mohammed Seif Khatibu
15. Zakhia Hamdan Meghji
16. Asha Rose Migiro
17. Sophia Simba
18. Sadifa Juma Khamis
19. Abdallah Majura Bulembo
20 Jenister Mhagama
21. William Lukuvi
22. Steven Masato Wasira
23. Emmanuel John Nchimbi
24. Pindi Chana
25. Jerry William Slaa
26. Adam Kimbisa
27. Shamsi Vuai Nahodha
28. Hussein Ally Mwinyi
29. Maua Daftari
30. Samia Suluhu
31. Salim Ahmed Salim
32. Makame Mbarawa
33. Hadija Abood
Nafasi zilizo wazi:
34. Anna Kajumulo Tibaijuka (ametolewa kutokana na kashfa ya Escrow)
35. Salmin Awadhi (amefariki)
Kabla ya mabadiliko ya katiba ya mwaka 2012 wenyeviti wastaafu (taifa)
na makamu wenyeviti wastaafu (taifa) walikuwa wajumbe wa kamati kuu.
Kwa sasa wana nafasi yao kama Baraza la Ushauri ambalo wajumbe wake ni hawa wafuatao:
1. Ally Hassan Mwinyi - Mwenyekiti
2. Pius Msekwa - Katibu
3. Benjamin William Mkapa - Mjumbe
4. Aman Abeid Karume - Mjumbe
5. Dr. Salmin Amour - Mjumbe
Hawa wazee wa Baraza la Ushauri wana nafasi yao katika ushauri kwa
kamati kuu kuhusu wagombea urais. Vikao vyao havina kalenda hukutana tu
pale linapokuwa jambo muhimu na mahususi linalohitaji mawazo yao.