Waziri Mkuu
wa zamani na Mbunge wa Monduli, ambaye tayari ametangaza nia ya kuwania
urais wa Tanzania, Edward Lowassa, akionyesha koba lenye fomu za kuwania
nafasi hiyo kupitia CCM, baada ya kukabidhiwa makao makuu ya chama
hicho mjini Dodoma, Alhamisi Juni 4, 2015. Kulia ni kewe Mama Regina
Lowassa. (Picha na Khalfan Said)
No comments:
Post a Comment