Mkutano wa mgombea urais kupitia UKAWA Mh. Lowassa umevunjika baada ya watu kuzidi kufurika kwa wingi ktk uwanja wa Tangamano nakusababisha msukumano na mkanyagano usiokuwa wakawaida hali iliyotishia usalama wawatu waliofika kamsikiliza Mwanabadilikowao.
Mh. Sumaye aliwatangazia watu kuwa kutokana na hali ilivyo uwanjani hapo wanalazimika kuufunga mkutano huo. Ndipo umati mzima ulipopaaza sauti ya kumshangilia kukubaliana nae. Hata hivyo mh. Lowassa aliusalimia umati huo kuupungia mkono.
No comments:
Post a Comment