Mr. Emmanuel Mallewo Director Storm fm Geita akiwa anapokea Leseni ya Radio 
Akikabidhiwa na Mh. Elizabeth Nzagi wakati wa utoagi wa Leseni hizo.
Mr. Santa chacha akipokea Leseni ya Redio iliyotolewa wakati huo anaempatia
Ni Mh. Elizabeth Nzagi
Hii ndio Leseni iliyotolewa wakati huo huu Ni upande wa nje wa Leseni hiyo
Upande wa ndani wa Leseni hiyo
Mr. Santa chacha akipokea Leseni Kutoka kwa mkurugezi mkuu wa 
TCRA wakati wa utoagi wa leseni hizo
Hawa Ni baadhi ya wachukuaji Leseni za Redio zao kulikuwa na Leseni 
Kumi zilizotolewa wakati huo
Baadhi ya mmoja wa Redio kutoka mbeya akisalimiana na Mkurugezi 
Mkuu wa TCRA.
Mr. Emmanuel Mallewo akipiga picha baada ya kutoka kwenye jengo la 
TCRA Mara baada ya kupata Leseni.
Mr. Santa Chacha akipiga picha baada ya kutoka kwenye jengo la 
TCRA Mara baada ya kupata Leseni.
Miss Modesta Olga nae akipiga picha Mara baada ya kutoka kwenye jengo la 
TCRA baada ya kupata Leseni.
Miss Modesta Olga akipiga picha kwenye bango la 
TCRA Mara baada ya kupata Leseni.
Mr. Emmanuel Mallewo akipiga picha baada ya kutoka kwenye jengo la 
TCRA Mara baada ya kupata Leseni.















No comments:
Post a Comment