Waziri waUchukuzi,Dk Harrison Mwakyembe
Jamani tupo kazini, wizi uliotumika siyo wizi huu wa kawaida bali ni wizi wa mtandao, wapo walioghushi nyaraka ndizo zimetumika kufanikisha wizi, hivyo tunafanya uchunguzi kubaini wahusika wote,” alisema.
KAMANDA wa Polisi Kikosi cha Bandari, Foturnatus Muslim amesema katika uchunguzi wa awali wamebaini wizi uliotumika kuiba shaba na mafuta ni wa mtandao.
Akizungumza kwa simu jana, Muslim alisema ili kuhakikisha wanafanya kazi ya kukomesha vitendo vya wizi bandarini, wanalazimika kufanya uchunguzi wa kina wa tukio hilo.

“ Jamani tupo kazini, wizi uliotumika siyo wizi
huu wa kawaida bali ni wizi wa mtandao, wapo walioghushi nyaraka ndizo
zimetumika kufanikisha wizi, hivyo tunafanya uchunguzi kubaini wahusika
wote,” alisema.
Waziri wa Uchukuzi, Harrison Mwakyembe hivi
karibuni alihoji kuhusu maendeleo ya kesi ya wizi wa shaba lenye
kumbukumbu namba KLB /IR/3067 /2012 na ya wizi wa mafuta yenye namba KLR
3068/2012.
Kesi hizo hadi sasa zinajumuisha washtakiwa 13.
Hata hivyo, imeeleza kuna polisi ambao wanatuhumiwa kuhusika kusimamia wizi huo, hawajaunganishwa na wenzao.

Kwa upande wake, Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu
ya Dar es Salaam, Suleiman Kova alikaririwa na vyombo vya habari juzi
akieleza kwamba upelelezi wa kubaini polisi waliohusika unaendelea.
No comments:
Post a Comment