Rais Dkt Jakaya Kikwete na Mama  Salma Kikwete wakiwa na wageni wao Prince Charles na mkewe Duchess of  Conrnwall katika dhifa ya kitaifa waliyowaandalia jana usiku Ikulu  jijini Dar es salaam.
   Rais Dkt Jakaya Kikwete akisoma hotuba yake katika hafla hiyo.
   Rais Dkt Jakaya Kikwete akinyanyua glasi juu kuwatakia afya wageni wake na msafara wao.
   Makofi baada ya hotuba ya Rais.
   Prince Charles akisoma hotuba yake.
   Duchess of Cornwall akimpongeza kiongozi wa bendi ya brass ya Polisi baada ya kutumbuiza vyema.






No comments:
Post a Comment