Hon. Philipo Augustino Mulugo -- Deputy Minister of Education and
Vocational Training, Tanzania, speaking on Education for Employment,
Developing Skills for Vocation at the Innovation Africa Summit - 5th-7th
October 2012 at the Westin Hotel, Cape Town, South Africa.
Supported by the Government of South Africa and co-hosted by
AfricanBrains and the University of the Western Cape.
Jeshi la Sudan limesema watato
wawili wameuawa kufuatia mashambulio mapya ya mabomu yaliyotekelezwa na
waasi katika mji mkuu wa jimbo la Kordofan ya Kusini.
Msemaji wa jeshi la nchini hiyo amesema kuwa raia wanane walijeruhiwa wakati wa shambulio hilo mjini Kadugli.Kundi la waasi wa SPLM-North nchini Sudan limesema lilikuwa likijibu mashambulio ya siku kadhaa yaliyotekelezwa dhidi yao na wanajeshi wa serikali
Umoja wa mataifa unakadiria kuwa maelfu ya watu wamehama makwao na wengine wengi kuathirika kutokana na mapigano hayo katika eneo la Kordofan ya Kusini, tangu uasi huo ulipoanza mwaka uliopita wakati Sudan Kusini ilijapatia uhuru wake.