Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akifurahia jambo na Mbunge wa Rombo Mhe Joseph 
Selasin katika hafla ya ufunguzi rasmi  wa barabara ya KM32 kutoka Mkuu 
Rombo hadi Tarakea leo Oktoba 30, 2012 kijijini Tarakea, wilaya ya Rombo
 mkoa wa Kilimanjaro ambako Rais Kikwete yuko katika ziara ya kikazi ya 
siku nne.
 
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akiongea kabla ya kufungua rasmi  wa barabara ya 
KM32 kutoka Mkuu Rombo hadi Tarakea leo Oktoba 30, 2012 kijijini 
Tarakea, wilaya ya Rombo mkoa wa Kilimanjaro ambako Rais Kikwete yuko 
katika ziara ya kikazi ya siku nne.
 
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akisaidiwa na Mbunge wa Rombo Mhe. Joseph 
Selasini kukunjua pazia kama ishara ya kufungua rasmi  wa barabara ya 
KM32 kutoka Mkuu Rombo hadi Tarakea leo Oktoba 30, 2012 kijijini 
Tarakea, wilaya ya Rombo mkoa wa Kilimanjaro ambako Rais Kikwete yuko 
katika ziara ya kikazi ya siku nne.
 
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa na Mbunge wa Rombo, Mhe. Joseph 
Selasini kukunjua pazia kama ishara ya kufungua rasmi  wa barabara ya 
KM32 kutoka Mkuu Rombo hadi Tarakea leo Oktoba 30, 2012 kijijini 
Tarakea, wilaya ya Rombo mkoa wa Kilimanjaro ambako Rais Kikwete yuko 
katika ziara ya kikazi ya siku nne.
 
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete na washika dau wa miundombinu wakikata utepe 
ishara ya kufungua rasmi barabara ya KM32 kutoka Mkuu Rombo hadi Tarakea
 leo Oktoba 30, 2012 kijijini Tarakea, wilaya ya Rombo mkoa wa 
Kilimanjaro ambako Rais Kikwete yuko katika ziara ya kikazi ya siku nne.
 
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akiongea katika moja ya maongezi yake na wananchi
 wakati alipokuwa akisimamishwa karibu kila kijiji wakati wa ziara yake 
Wilaya ya Same.
 
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akiongea katika moja ya maongezi yake na wananchi
 wakati alipokuwa akisimamishwa karibu kila kijiji wakati wa ziara yake 
Wilaya ya Same.
(PICHA NA IKULU)
(PICHA NA IKULU)
No comments:
Post a Comment