Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Mbunge wa Hai na Kiongozi wa 
Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe katika eneo 
la sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa Sadala-Masama 
wilayani hai leo.
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akipokewa na Mkuu wa Wilaya ya Hai Mhe Novatus 
Makunga katika eneo la sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa 
Sadala-Masama wilayani hai leo.
 
 
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akimpongezza  Mbunge wa Hai na Kiongozi wa 
Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe  kwa hotuba 
nzuri ya kumkaribisha na kumsifia kwa kazi anayofanya katika maendeleo 
ya miundombinu nchini katika eneo la sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa 
barabara ya Kwa Sadala-Masama wilayani hai leo.
 
  
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe 
L:eonidas Gama na Mbunge wa Hai na Kiongozi wa Upinzani Bungeni na 
Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe katika eneo la sherehe za 
uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa Sadala-Masama wilayani hai leo.
 
  
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akisaidiwa kuzindua jiwe la msingi  na Mbunge wa 
Hai na Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman
 Mbowe katika eneo la sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa 
Sadala-Masama wilayani hai leo.
 
  
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa na kupewa shukurani  na Mbunge wa Hai
 na Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman 
Mbowe katika eneo la sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa 
Sadala-Masama wilayani hai leo.
 
 
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Miundombinu Mhe John Pombe Magufuli 
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe L:eonidas Gama na Mbunge wa Hai na 
Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe 
wakikata utepe mojawapo ya magreda katika eneo la sherehe za uzinduzi wa
 ujenzi wa barabara ya Kwa Sadala-Masama wilayani hai leo.
 
  
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete, Waziri wa Miundombinu Mhe John Pombe Magufuli 
Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe Leonidas Gama na Mbunge wa Hai na 
Kiongozi wa Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe Freeman Mbowe 
katika picha ya pamoja na viongozi mbalimbali wa Mkoa wa Kilimanjaro  
baada ya  uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa Sadala-Masama wilayani 
hai leo.
 
  
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akisindikizwa  na Mbunge wa Hai na Kiongozi wa 
Upinzani Bungeni na Mwenyekiti wa CHADEMA, Mhe Freeman Mbowe kutoka 
katika eneo la sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa 
Sadala-Masama wilayani hai leo.
 
 
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akipongezwa na wananchi  katika eneo la sherehe 
za uzinduzi wa ujenzi wa barabara ya Kwa Sadala-Masama wilayani Hai leo.
(PICHA NA IKULU)
(PICHA NA IKULU)
No comments:
Post a Comment