Kama sisi walezi ama wazazi hatutokua Makini, kuwahakikishia Usalama wao,
Ugonjwa huu unazidi kukua siku Hadi siku,
walinde wanao waepushe na maeneo ambayo Kuna mikusanyiko, Wanapocheza Mpira, wafanye waweze kukaa Nyumbani. Ikibidi kuwa mkali ili kuwalinda na maambukizi ya Corona COVID 19
hakikisha Wana Nawa Kwa Sabuni Mara kwa mara
No comments:
Post a Comment