My Web

Emmanuel

CONTACT

Tuesday, April 14, 2020

NJIA ZA KUJIKINGA NA CORONA


Mwanafamilia yeyote anapotoka nyumbani kwenda kutafuta riziki, kufanya ibada n.k. tunakumbushana kuchukuwa tahadhari ili kulinda na kuokoa familia zetu. 
 
Unaporudi nyumbani usishike vitasa kabla havijasafishwa kwa sabuni au sanitizer.

Kisha pitiliza bafuni/chooni
*kufua, kuoga* na *kubadili mavazi.* 

Usifikie kwenye makochi / viti, na epuka watoto wasikukumbatie.

*TANZANIA BILA CORONA INAWEZEKANA*

*TII MAELEKEZO BILA SHURUTI*



No comments:

Post a Comment

New