Rais
 Jakaya Kikwete (kushoto) akiwa amepokea fomu kutoka kwa Kamishna wa 
Sensa 
Tanzania, Amina Mrisho, tayari kuhesabiwa katika Sensa ya Watu na 
Makazi nyumbani 
kwake Ikulu, Dar es Salaam leo. Rais na familia yake 
walihesabiwa kwa siri  na Karani 
wa Sensa, Clement Ngallaba. (PICHA NA 
RICHARD MWAIKENDA)
 Rais Kikwete na mkewe Mama Salma wakiondoka kwenda chumba maalumu kwa 
ajili ya kuhesabiwa
Rais
 Jakaya Kikwete akihamasisha wananchi kujitokeza kuhesabia mara baada ya
 kutoka 
kuhesabiwa yeye na familia yake, nyumbani kwake Ikulu, Dar es 
Salaam leo. Kulia kwake 
ni  mkwewe Mama Salma Kikwete

No comments:
Post a Comment