Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete (kulia) akiagana na Rais John Dramani 
Mahama wa 
Ghana nyumbani kwake jijini  Accra jana Agosti 11, 2012 
baada ya  
kumtembelea na  kumpa pole ya msiba wa aliyekuwa Rais wa nchi 
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo  na Rais John Dramani 
 Mahama wa Ghana nyumbani kwake jijini  Accra jana Agosti 11, 2012  
 wakati alipomtembelea kiongozi huyo mpya wa Ghana na  kumpa pole ya 
msiba 
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akitazama mananasi yakitayarishwa kwa ajili ya 
kusafirishwa na kuuzwa nje ya nchi katika kiwanda cha  Bomarts Farms Ltd 
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitazama ukulima wa kisasa wa mananasi 
yanayolimwa  
kwa ajili ya kuuzwa nje ya nchi katika shamba la Bomarts 
Farms Ltd katika kijiji cha 
Dobro katika eneo la Nsawam  nje kidogo ya 
jiji la Accra jana Agosti 11, 2012. Kulia 
kwake ni Mtendaji Mkuu wa 
shamba hilo Bw. Anthony Botchway na mwenye suti ya 
Rais
 Jakaya Mrisho Kikwete akiangalia upandaji wa miche ya  mananasi katika 
shamba la Koranco kijiji cha Obotweri nje kidogo ya jiji la Accra. Kulia
 kwake ni 
Mkurugenzi Mkuu wa Koranco Farms Ltd, Bw Emmanuel B. Koranteng
 ambaye 
amekuwa akilima shamba la matunda kwa miaka 27. Mwalimu Nyerere 
aliwahi 
kumtembelea shambani hapo katikati ya miaka ya 1980 kujionea 
ukulima 
huo wa matunda.
(PICHA NA IKULU)
No comments:
Post a Comment