Mganda Stephen Kiprotich ameshinda 
medali ya dhahabu katika mbio za marathon (wanaume) akifuatiwa na 
Wakenya Abel Kirui and Wilson Kipsang. Mtanzania Faustine Mussa alishika
 nafasi ya 33 baada ya kukimbia kwa masaa mawili, dakika 17 na sekunde 
39 huku Samson Ramadhani akishika nafasi ya 66 kwa kukimbia kwa muda ta 
masaa mawili, dakika 24 na sekunde 53. Matokeo rasmi kama 
yanavyoonyeshwa hapo chini.