Baadhi ya wanajumuia wanaoishi nchini Australia wakimsikiliza. Rais Jakaya Kikwete hayupo pichani alipokutana nao Okt.26.2011 mjini Perth Australia.My Web
Emmanuel
CONTACT
Thursday, October 27, 2011
MKUTANO WA RAIS KIKWETE NA WATANZANIA WAISHIO NCHINI AUSTARIA WAFANA
Rais  Jakaya Kikwete akizungumza na Mwenyekiti wa watanzania waishio  Australia Asimwe Kabunga katika mkutano unaowajumuisha watanzania  waishio Australia okt, 26-2011. Rais Jakaya Kikwete pamoja wanajumuia ya  watanzania wanaoishi Australia wamezungumzia masuala mbalimbali ya  maendeleo.
 
Baadhi ya wanajumuia wanaoishi nchini Australia wakimsikiliza. Rais Jakaya Kikwete hayupo pichani alipokutana nao Okt.26.2011 mjini Perth Australia.  
Mke  wa Rais Mama Salma Kikwete (kulia) akipokea maua kutoka kwa mweka  Hazina wa Jumuia ya Watanzania waishio Australia Maryam Powell jana  walipokutana na wanajumia mjini Perth Australia. Rais Jakaya Kikwete  alikutana na wanajumuia kuzungumza mambo mbalimbali ya maendeleo na  kijamii, Rais yupo nchini Australia kuhudhuria mkutano wa wakuu wa nchi  wanachama wa jumuia ya madola (Commonwealth Heads of Government Meeting-  CHOGM 2011, utakaanza Oktoba 28-30, 2011. 
 Mke  wa Rais Mama Salma Kikwete akibadilisha mawazo na mwanajumuia wa  Australia Dr.Joseph Masika wakati Rais Jakaya Kikwete alipokutana na  wanajumuia wanaoishi Australia 0ktoba 26, 2011 na kuzungumza nao mambo  mbalimbali ya maendeleo ya nchi yetu. 
Baadhi ya wanajumuia wanaoishi nchini Australia wakimsikiliza Rais Jakaya Kikwete hayupo pichani alipokutana nao Okt.26.2011  mjini Perth Australia.  
Baadhi ya wanajumuia wanaoishi nchini Australia wakimsikiliza. Rais Jakaya Kikwete hayupo pichani alipokutana nao Okt.26.2011 mjini Perth Australia.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)

No comments:
Post a Comment