Spika wa Bunge Anne Makinda akikata keki tayari katika
Birthday yake jana mjini Dodoma.
![]() |
Bi Lina
Kitosi akimlisha Mhe. Spika keki kwa niaba ya wafanyakazi wa Bunge
wakati wa Birthday yake ya 63 iliyofanyika jana mjini Dodoma. |
Ni Birthday ya 63 ya Mhe. Spika Anne Makinda na hii
ilikuwa keki ya Birthday.
Spika Anne Makinda akipokea keki kutoka kwa mmoja
wa wafanyakazi wa Bunge.
No comments:
Post a Comment