Emmamalle
My Web
Emmanuel
CONTACT
Monday, July 16, 2012
MASANJA AFANYA KUFURU IRINGA KATIKA UZINDUZI WA ALBUM YA HAKUNA JIPYA WENGI WAFURIKA
Diwani wa kata ya kitanzini Manispaa ya Iringa Jesca hakuwa nyuma kutoa support kwa kununua DVD ya album ya HAKUNA JIPYA
JB toka bongo movie akitoa support kwa kununua DVD na Audio Cd
Hapa Mgeni Rasmi akiongea baada ya kuzindua waliokaa ni baadhi ya wabunge wa viti maalum na mkuu wa mkoa wa Iringa.
Tayari hapa Mgeni rasmi Mulugo amsehazindua
HAPA NAIBU WAZIRI WA ELIMU MILUBO AKIZINDUA DVD NA VCD YA ALBUM YA EMANUELI MGAYA KWA JINA HAKUNA JIPYA.
VIONGOZI WAKIWA WAMEAMBATANA NA MGENI RASMI
WOLPER
RAY NAE AKISALIMIA WAKAZI WA IRINGA
TIMU NZIMA YA BONGO MOVIE IKIONGOZWA NA STEVE NYERERE MC
MASANJA AKISOMA RISALA KWA MGENI RASMI
AKIKAGUA GWARIDE
MASANJA AKIINGIA UWANJANI KWA STYLE YA UKAKAMAVU
MARTHA BARAKA
MARTHA MWAIPAJA
UMATI WA WATU WAZIDI KUFURIKA KUSHUHUDIA UZINDUZI
NI KATIKA UWANJA WA SAMORA MJINI IRINGA ANASINDIKIZWA NA WAIMBAJI MBALIMBALI TOKA IRINGA NA NJE YA IRINGA.
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
New
No comments:
Post a Comment