Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt 
Emmanuel Nchimbi akiwa na naibu wake Mhe Pereira Silima (wa kwanza 
kushoto) na Jaji Kiongozi Mhe. Fakihi Jundu (wa pili kulia) wakiwa meza 
kuu na Kamishna Jenerali wa Magereza anayemaliza muda wake, Afande 
Augustine Nanyaro (wa tatu kulia) katika hafla ya kumuaga kiongozi huyo 
wa magereza anayestaafu rasmi mwishoni mwa mwezi huu baada ya kutumikia 
jeshi hilo kwa takriban miaka 37. Hafla hii ilifanyanyika usiku wa 
kuamkia leo katika Bwalo la Maafisa wa Magereza la Ukonga, Dar es 
salaam.
 Champaigne ikiandaliwa.
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Dkt 
Emmanuel Nchimbi akigonganisha glasi na Kamishna Jenerali wa Magereza 
anayemaliza muda wake, Afande Augustine Nanyaro katika hafla ya kumuaga 
kiongozi huyo wa magereza anayestaafu rasmi mwishoni mwa mwezi huu baada
 ya kutumikia jeshi hilo kwa takriban miaka 37. Hafla hii ilifanyanyika 
usiku wa kuamkia leo katika Bwalo la Maafisa wa Magereza la Ukonga, Dar 
es salaam.
Maafisa wa ngazi mbalimbali wa 
Magereza na taasisi zingine wakipita meza kuu kumuaga Kamishna Jenerali 
wa Magereza anayemaliza muda wake, Afande Augustine Nanyaro, katika 
hafla ya kumuaga kiongozi huyo wa magereza anayestaafu rasmi mwishoni 
mwa mwezi huu baada ya kutumikia jeshi hilo kwa takriban miaka 37. Hafla
 hii ilifanyanyika usiku wa kuamkia leo katika Bwalo la Maafisa wa 
Magereza la Ukonga, Dar es salaam.
Kamishna
 Jenerali wa Magereza anayemaliza muda wake, Afande Augustine Nanyaro, 
akijumuika na waalikwa katika hafla ya kumuaga kiongozi huyo wa magereza
 anayestaafu rasmi mwishoni mwa mwezi huu baada ya kutumikia jeshi hilo 
kwa takriban miaka 37. Hafla hii ilifanyanyika usiku wa kuamkia leo 
katika Bwalo la Maafisa wa Magereza la Ukonga, Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment