
Baadhi ya watu wakivuka kwenye mafuriko

mmama nae akipita akiwa na sufuria zake

Magari madogo yapata chida ya kupita kutokana na maji kuwa mengi

Jamaa akifanya Biashara yakuwavusha watu kwa kuwabeba

watu wakiendelea kuvuka sambamba na magari

Jamaa wakivaa viatu baada ya kumaliza kuvuka kwenye maji mengi

Bajaji nazo zilikuwa kwenye wakati mgumu kutokana na maji kuwa mengi sana

Pikipiki nazo zapata adha hiyo ya mvua
No comments:
Post a Comment