Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisaini kitabu cha maombolezo ya aliyekuwa  mwigizaji  mahiri nchini, marehemu Steven  Kanumba, nyumbani kwake, Sinza jijini Dar es salaam, Aprili  9, 2012.
  Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na baadhi ya waombolezaji wakati alipokwenda nyumbani kwa marehemu Steven Kanumba, Sinza jijini Dar es salaam Aprili 9, 2012 kutoa pole kwa ndugu na jamaa wa marehemu
 
No comments:
Post a Comment