My Web

Emmanuel

CONTACT

Friday, April 13, 2012

RAIS JAKAYA KIKWETE AWAAPISHA WAJUMBE WA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA MPYA IKULU JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Jaji Joseph Sinde Warioba, kuwa Mwenyekiti wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Jaji Agustin Ramadhan, kuwa Makamu Mwenyekiti wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha, Abdallah Ali Saleh, kuwa Mjumbe wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Jaji Salim Ahmed Salim, kuwa Mjumbe wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Fatma Said Ali, kuwa Mjumbe wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete, akimuapisha Maria Malingumu Kashonda, kuwa Mjumbe wa Tume ya mchakato wa kutafuta maoni ya Katiba Mpya, wakati wa hafla fupi iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu jijini Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete na Makamu wake Dkt. Mohammed Gharib Bilal, wakiwapongeza wajumbe wa Tume hiyo baada ya kuapishwa rasmi katika hafla fupi iliyofanyika Ikulu Dar es Salaam leo.
Baadhi ya wageni waalikwa waliohudhuria hafla hiyo katika Viwanja vya Ikulu Dar es Salaam leo.
Rais Jakaya Kikwete, Makamu wake, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Rais wa Zanzibar, Dkt. Ali Mohamed Shein, na Makamu wake wawili, Maalim Seif na Balozi Seif Idd, Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, wakiwa katika picha ya pamoja kwa kumbukumbu na Viongozi wateule na wajumbe wa Tume hiyo baada ya kuapishwa rasmi. Tume hiyo inatarajia kuanza kazi rasmi Mei 01, mwaka huu

No comments:

Post a Comment

New