RAIS DKT JAKAYA MRISHO KIKWETE AKIHOJIANA NA BW. FRANKLIN MARTINS WA CINEVIDEO PRODUCTION YA BRAZIL IJUMAA USIKU IKULU JIJINI DAR ES SALAAM. BW MARTINS ALIWAHI KUWA WAZIRI WA MAWASILIANO YA HABARI (SOCIAL COMMUNICATION) WA BRAZIL WAKATI WA UTAWALA WA RAIS LULA. MAAHOJIANO HAYO, YALIYOHUSU MASUALA MBALIMBALI IKIWEMO MAENDELEO YA NCHI, SIASA, UCHUMI NA JAMII, YATARUSHWA KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TV DUNIANI.
RAIS DKT JAKAYA MRISHO KIKWETE AKIPEANA MIKONO NA BW. FRANKLIN MARTINS WA CINEVIDEO PRODUCTION YA BRAZIL BAADA YA KUFANYA NAYE MAHOJIANO IJUMAA USIKU IKULU JIJINI DAR ES SALAAM. BW MARTINS ALIWAHI KUWA WAZIRI WA MAWASILIANO YA HABARI (SOCIAL COMMUNICATION) WA BRAZIL WAKATI WA UTAWALA WA RAIS LULA. KATIKATI NI PRODUCER NA DIRECTOR WA CINEVIDEO BI. MONICA MONTIERO.
My Web
Emmanuel
CONTACT
Sunday, April 8, 2012
RAIS KIKWETE AFANYA MAHOJIANO NA CINEVIDEO YA BRAZIL IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment