Mmoja wa waombolezaji akisaidiwa na watu wa Msalaba Mwekundu baada ya kuzirai.
Msanii wa filamu, Blandina Chagula akilia kwa huzuni
Mwimbaji wa muziki wa Injili kutoka Kenya, Solomon Mukubwa (kulia) naye alikuwepo.
Mcheza sinema, Wema Sepetu, akisaidiwa na msanii mwenzake, Emannuel Miyamba.
Msanii Irene Uwoya akihudumiwa na wafanyakazi wa Msalaba Mwekundu.
Msanii Rachel Haule akiwa na majonzi.
Waombolezaji wakisukumana kuingia makaburini.
No comments:
Post a Comment