Ni siku ya kihistoria kwa msanii aliye hot Bongo kwa sasa na  kinara wa tuzo za Kili 2012, 'Diamond Platinum'. Alifanya shoo ya  kihistoria kwenye Uwanja wa Taifa wa burudani, Dar Live, uliyoko Mbagala  jijini Dar es salaam kwa kwenda na helikopta, akiwa msanii wa kwanza  nchini kufanya hivyo 
Hapa anaonekana akiwa Uwanja wa Ndege Terminal One  akielekea kwenye Helikopta
Diamond akiwa na Rubani wake wakati wakielekea kwenye helikopta
Diamond akipiga 'saluti; kabla ya ndege kupaa kuelekea kiwanja cha Dar Live, Mbagala
Helikopta  ikiwa mita chache juu wa Dar Live ikizunguruka, ambapo Diamond  alisalimia 
mashabiki akiwa angani kwa kutumia 'Wireless Mic'
Huu ni Uwanja wa Taifa wa Burudani wa Dar Live unavyoonekana kwa juu
Diamond akitua katika uwanja wa Dar Live!
Diamond akiagalia helikopta ikipaa angani, na mkononi akiwa ameshika Mic yake
hapa Helikopta aliyokuja nayo Diamond ikiondoka
Diamond akiwa ndani ya Mercedes Benz mara baada ya kutua
No comments:
Post a Comment