…                                 

50 Cent akipelekwa hospitali baada ya ajali hiyo.
Lori lililogonga gari la 50 Cent.
Mkoko wa 50 baada ya ajali.
Mwanamuziki Curtis James Jackson '50 Cent' usiku wa kuamkia leo 
amepata ajali mbaya baada ya gari lake kugongwa na lori. Baada ya ajali 
hiyo 50 Cent alikimbizwa katika hospitali ya Queens kwa matibabu. Dereva
 aliyekuwa anaendesha gari lake naye amelazwa hospitali baada ya ajali 
hiyo mbaya.
PICHA ZOTE KWA HISANI YA: www.thisis50.com
No comments:
Post a Comment