MADA II TAFAKARI
SI KILA MPENZI UMPATAYE ATAKUOA..WENGINE NI MITUME TU
Si kila mpenzi ajaye maishani mwako wewe unawaza ndoa tu,na asipokuoa basi unabaki unalia tu na kujihisi una mkosi.
Wapenzi wengine hutumwa tu na Mungu kwa kusudi maalum kwa muda maalum,na kusudi likiisha lazima waondoke,hata ufanye nini!
 
 Si kila mpenzi atakuwa Mke au mume,Nimejifunza kulielewa hili na  ninamshukuru Mungu kwa mengi niliyojifunza in my Past  relationships.Nawashukuru ALL my past Girl...friends,kwa changamoto na  elimu waliyonipatia kuhusu Love,wale mlioutesa huu moyo na kuubondabonda  kama Korosho,wale mlionisulubu kisa mlijua nawapenda,mmenifundisha  mengi sana,pokeeni Shukrani zangu!
 Acha kulialia  ukiachika,mara ooh nilimpenda tungezaa watoto wazuri weupe,hilo halikuwa  kusudi la Mungu,atakupa mtu sahihi aliyekupangia na utafurahi,yule  alikuja kwa kazi maalum tu.
Wake up,Learn and Move On...
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment