Hongera kwa bloggers
wote ambao majina yao yalipendekezwa kushiriki katika shindano hili la
mwaka 2012. You are all winners no matter what....
Baada ya kutembelea blogs nyingi tumeona kuwa sio watu wengi wanatumia badges tunazozitengeneza. Hivyo kwa mwaka huu tutaweka ya aina moja tu lakini kama unataka maalumu ya kipengele blog yako iliyopendekezwa basi utuandikie tutakutumia. Kama kutakua na maombi ya watu wengi basi tutazitengeneza na kuziweka hapa lakini kama ni watu wawili watatu tu basi wengine wale wanaopenda watatumia hii tutakayoiweka ya mwaka huu. Lakini mwisho wa kuomba hizo badges ni Jumatano. Baada ya hapo itakayotumika ni hii moja tu.
Kura zitaanza kupokelewa jumatatu tarehe 17th June na mwisho wa kupoke ani tarehe 30th June. Ni kwa muda wa wiki mbili tu...

kutaka kupigia kura ingia kwenye: http://www.tanzanianblogawards.com
Majina yaliyoingia mwaka huu katika vipengele vyetu ni haya :-

Best
Beauty/Fashion or Style Blogs
Best
Collaborative or Group Blogs
Best Educational
Blogs
Best
Entertainments/Music or Humor Blogs
Best Entrepreneurial
Blogs
Best Family
or Personal Blogs
Best
Inspiration Blogs
http://Issamichuzi blog
Best
Newcomer Blogs
Best News
Best Out Of
Towner Blogs
Best
Poetry or Writing Blogs
Best
Political Blogs
Best
Photography Blogs
Best
Religion Blogs
Best
Sports Blogs
Best
Science or Technology Blogs
Best
Travel Blogs
No comments:
Post a Comment