Banda
 ya Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) linavyoonekana katika 
Viwanja vya Maonyesho ya Kimataifa ya Biashara nchini (Saba saba.)
Meneja
 Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice Chiume 
akimuelekeza jambo mmoja wa Wadau wa NSSF alietembelea banda hilo kwenye
 viwanja vya SabaSaba.
Ofisa Mwandamizi wa Huduma za Wateja kwa Umma, Juma Kintu (kulia) akiwa katika banda la NSSF.
Ofisa
 Mkuu wa Mipango wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF),Gerald 
Sondo akionyesha picha za sehemu ya Mradi wa Nyumba za Makazi 
zilizojengwa Maeneo ya Mtoni Kijichi jijini Dar.
Mkuu
 wa Kitengo cha Mahusiano na Huduma kwa Wateja wa Shirika la Hifadhi ya 
Jamii (NSSF),Theopista Muheta akimuelezea jambo mmoja wa wateja wa NSSF 
alietembelea Banda hilo.
Sehemu ya picha za Mradi wa Nyumba za Makazi zilizojengwa na NSSF Maeneo ya Mtoni Kijichi jijini Dar.
Makatibu
 Muhtasi wa NSSF,Kushoto ni Dada Pili Penda na Dada Khadija wakionyesha 
nyuso za furaha ndani ya Banda yao lao kwenye Maonyesho ya Sabasaba.
Meneja
 Uhusiano wa Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF), Eunice  Chiume
 akimuelekeza jambo mmoja wa Wadau wa NSSF alietembelea banda hilo  
kwenye viwanja vya SabaSaba.Kushoto ni Dada Pili Penda.
Ofisa wa NSSF akionyesha picha ya Baadhi ya Majengo yaliyojengwa na NSSF katika maeneo mbali mbali hapa nchini.
Sehemu ya Promosheni.
Sehemu ya V.I.P kwa wadau wa NSSF.
No comments:
Post a Comment