Mbunge wa Jimbo la 
Ubungo John Mnyika akiteta na Mbunge wa jimbo la Wawi Hamad Rashid 
Mohamed (kushoto) na Mbunge wa Bariadi Mashariki John Cheyo  mara baada 
ya kuondolewa Bungeni leo mjini Dodoma baada ya kukataa kufuta kauli ya 
kumdhalilisha Rais wa Jamhuri ya  Muungano wa Tanzania kuwa dhaifu. 
Mbunge huyo alitoa kauli hiyo wakati akichangia Bajeti ya serikali ya 
mwaka 2012/13 katika mkutano unaoendelea. 
 | 



No comments:
Post a Comment