Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea  na ujumbe wa Zanzibar katika Mkutano Mkuu wa Bodi ya Magavana wa Benki  ya Maendeleo ya Afrika wakati wa hafla ya chakula cha usiku baada ya  ufunguzi wa mkutano huo Mei 31, 2012 usiku katika hoteli ya Ngurdoto  Mountain jijini Arusha.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akisalimiana na vijana wa Arusha walioshiriki kutoa huduma kwa wajumbe  wa Mkutano Mkuu wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika  wakati wa hafla ya chakula cha usiku baada ya ufunguzi wa mkutano huo  Mei 31, 2012 usiku katika hoteli ya Ngurdoto Mountain jijini Arusha.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea  na Makamu wa Rais wa European Investment Bank, Bw. Plutarchos Sakellaris  baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Bodi ya Magavana wa Benki ya  Maendeleo ya Afrika katika ukumbi wa AICC jijini Arusha Mei 31, 2012.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua  ujenzi wa jengo la Makao Makuu ya Jumuiya ya Afrika Mashariki baada ya  kufungua Mkutano Mkuu wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya  Afrika. Jengo hili liko nyuma ya jumba la mikutano la AICC jijini  Arusha.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete  akisalimiana na baadhi ya wafanyakazi wa ujenzi wa jengo la Makao Makuu  ya Jumuiya ya Afrika Mashariki baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Bodi ya  Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika. Jengo hili liko nyuma ya  jumba la mikutano la AICC jijini Arusha.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifanya  mazungumzo na Mshauri wa Mfalme wa Tano wa Morocco, Bw. Omar Kabbaj  baada ya kufungua Mkutano Mkuu wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo  ya Afrika katika ukumbi wa AICC jijini Arusha.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisamiana  na Rais wa Japan International Cooperation Agency (JICA), Profesa  Akihito Tanaka na baadaye kufanya naye mazungumzo baada ya kufungua  Mkutano Mkuu wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Maendeleo ya Afrika katika  ukumbi wa AICC jijini Arusha.
PICHA NA IKULU
No comments:
Post a Comment