Pichani juu ni ajali ya ndege 
iliyotokea Jumatano Juni 20, 2012 katika jimbo la Katanga nchini DRC 
Congo. Ndege hiyo ilikuwa imebeba wafanyakazi wa migodi ya Mpweto na 
Dikulushi. Abiria wote waliokuwemo katika ndege hiyo walinusurika ambapo
 abiria mmoja alijeruhiwa kutokana na kutofunga mkanda.
Picha na Mdau Gervas ambaye ni mmoja wa Watanzania wanaofanya kazi katika migodi ya Mpweto na Dikulushi.
No comments:
Post a Comment