MADA V FIKIRI KWA UMAKINI
THE 3 SCENARIOS OF CHEATING:CHOOSE YOURS
Watu wengi wanajaribu kukimbia kivuli chao wenyewe,ila ukweli utabakia palepale...Cheating ziko za aina 3
SCENARIO 1
  Ukicheat na mtu mara moja tu,na ukaacha kurudia tena,inamaanisha your  current partner is better of,kuliko the person uliyecheat nae....Na  umegundua hilo baada ya kutest the taste...
SCENARIO 2
Ukiona umecheat,na unaendelea kucheat na huyo mtu,kwa muda mrefu,jua huyo mtu amemzidi partner wako..
 Ingawa hauko tayari kuachana na Partner wako kutokana na penzi la wizi  lililokunogea,lakini ukipimwa,kwenye Love meter, mtu unayecheat nae una  mapenzi makubwa kwake kuliko your partner...
SCENARIO 3
 Wale mnaocheat na watu zaidi ya mmoja,mioyo yenu imekaribia kufa,maana  sio tu kupenda tena,bali mioyo yenu inavuja mapenzi,lolote laweza  kutokea kwa mtu yeyote...Watu wa design hii,hata wakifunga  ndoa,wanafanya hivyo kama mazoea tu na kufurahisha watu lakini ukweli ni  kwamba hawamaanishi kuwa kwenye ndoa vile ambavyo ilitakiwa kuwa  kimpango wa Mungu,Mtu mmoja mwanamume kwa Mtu mmoja mwanamke,inabaki  fashion tu...
Kwa upande wa Relationship, watu wa design hii  wako kwenye Relationship kwa sababu tu hawawezi kukaa Single,Partner  anabakia kama Quasi,ni jina tu,kwamba huyu ni partner wako,lakini  unatumikia watu wengi kwa wakati mmoja na hata ukicheat haikuumi kwamba  kuna Partner umemsaliti,kwako 1 na 2 zote ni namba zinazofanana...
Je, wewe uko kwenye Scenario ipi? Jibu unalo
 
 
 
          
      
 
  
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
No comments:
Post a Comment