![]() | |||||
Miss Tanzania Salha Israel akimvisha taji mrembo Lisa Jensen mara baada ya kutangazwa mshindi katika shindano hilo usiku huu |
![]() | |
Warembo wa Redds Miss World Tanzania wakicheza shoo ya ufunguzi |
![]() |
Mkurugenzi wa kamati ya Miss Tanzania Hashim Lundenga akijichanganya na wageni waalikwa katika shindano hilo. |
![]() |
Baadhi ya Majaji wa shindano hilo wakijadili jambo kutoka kulia ni Mshauri wa kamati ya Miss Tanzania Ramesh Shah, Miriam Ikoa na Prashant Patel Mwenyekiti wa kamati ya Miss Tanzania |
![]() |
Warembo hao wakipta jukwaani na vazi la jioni |
![]() |
Wakionyesha Shoo yao ya ufunguzi. |
![]() |
Mrembo Hamisa Hassan akipita na vazi la ubunifu |
![]() |
M rembo Pendo Laizer akipita na vazi la ubunifu |
![]() |
Mshauri wa kamati ya Miss Tanzania Ramesh Shah akitangaza warembo walioingia katika tano bora |
No comments:
Post a Comment