Tawi la CHADEMA Washington DC Nchini Marekani Lazidi Kuvuna Wanachama Wapya
  Linda Bezuidenhout (LB) furaha baada ya kuvua kamba kuvaa kwanda na kuchukua kadi  kuwa mwanachama kamili wa Chama Cha Demokrasia Chadema.
 Mwenyeketi wa tawi la Tawi la Chama  Cha Demokrasia CHADEMA  Washington DC Mhe. Kalley Pandukizi, pamoja  na katibu wake  Mhe. Libe  Mwang'ombe akimkabidhi rasmi mwanacham  mkareketwa  ambae ni mwana  mitindo Linda  Bezuidenhout (LB) kati ya  uwanachama wa chama cha   Demokrasia Chadema katika ofisi ya  tawi la  Tawi la Chama Washington  DC.
 Mwenyeketi wa  Tawi la Chama Cha  Demokrasia CHADEMA Washington  DC Kalley Pandukizi akiwa na katibu  wachama hicho,Ndugu Libe Mwang'ombe  alipotoa kadi rasmi kwa Beautician  maharufu na designer wa kitanzan  Linda  Bezuidenhout (LB)
 Viongozi wa tawi la chadema Washington DC wakipata Champagne
Mwenyeketi wa tawi la Tawi la Chama  Cha Demokrasia CHADEMA  Washington DC Mhe.  Kalley pamoja na katibu wake   Mhe. Libe Mwang'ombe  wakipata picha ya pamoja  na Linda  Bezuidenhout Atlanta, Georgia na  wanachama wa tawi la chadema  Washington DC.
Katika  miaka ya nyuma Linda aliwahi  kusponsor  matukio mbali mbali  kwenye   miaka ya 1990 wengi wao wakimjua kwa Linda Express Nchini  Tanzania  ambae ambaye hivisasa anajishughulisha na  biashara ya nguo za kiume milanovita.com pamoja na  zakike ambazo anadesign mwenyewe kwa brand name ya Linda kutoka Atlanta, Georgia Nchini Marekani.Picha na Mdau Wa Swahilivilla
No comments:
Post a Comment