MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL AIWAKILISHA TANZANIA KATIKA MKUTANO WA UMOJA WA MATAIFA KUHUSU MAZINGIRA ENDELEVU JIJINI RIO DE JANEIRO-BRAZIL
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa 
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Viwanja vya 
Ukumbi wa Mikutano, wakati alipofika kuiwakilisha nchi katikaMkutano wa 
Umoja wa Mataifa kuhusu Mazingira Endelevu (Rio+20) jana Juni 21, jijini
 Rio de Janeiro, nchini Brazil. Mkutano huo ni wa pili kufanyika nchini 
hapa tangu ulipofanyika kwa mara ya kwanza mwaka 1992. Kushoto kwake ni 
Balozi wa Tanzania nchini Brazil, Francis Malambugi.
 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa 
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia katika Mkutano wa Umoja
 wa Mataifa kuhusu Mazingira Endelevu (Rio+20) jana Juni 21, jijini Rio 
de Janeiro, nchini Brazil. Mkutano huo ni wa pili kufanyika nchini hapa 
tangu ulipofanyika kwa mara ya kwanza mwaka 1992.
Waziri wa Ofisi ya Makamu wa Kwanza wa rais wa Zanzibar, Fatma Fereji, Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Mahadhi Juma Maalim, Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Mazingira) Dkt. Terezya Huvisa. wakiwa katika mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mazingira Endelevu (Rio+20) jana Juni 21, jijini Rio de Janeiro, nchini Brazil. Mkutano huo ni wa pili kufanyika nchini hapa tangu ulipofanyika kwa mara ya kwanza mwaka 1992.
 Balozi Liberata Mulamula, na Balozi wa 
Tanzania, nchini Brazil,Francis Malambugi, wakiwa katika mkutano wa 
Umoja wa Mataifa kuhusu Mazingira Endelevu (Rio+20) jana Juni 21, jijini
 Rio de Janeiro, nchini Brazil. Mkutano huo ni wa pili kufanyika nchini 
hapa tangu ulipofanyika kwa mara ya kwanza mwaka 1992.
Balozi Liberata Mulamula, akifurahia jambo
 baada ya kukutana na Wabunge wa Tanzania, (kushoto) ni Mbunge wa (wa 
pili kushoto) ni Mbunge wa Kahama Bw. James Lembeli, (wa pili kulia) ni 
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais, Sazi Salula, (katikati) ni 
Mkurugenzi wa mazingira, Ofisi ya Makamu wa rais, Dkt.Julius Ningu, 
katika Viwanja vya Kumbi za mikutano ya Rio+20, wakati walipofika 
kuhudhuria mkutano wa Umoja wa Mataifa kuhusu Mazingira Endelevu 
(Rio+20) jijini Rio de Janeiro, nchini Brazil. Mkutano huo ni wa pili 
kufanyika nchini hapa tangu ulipofanyika kwa mara ya kwanza mwaka 1992.




No comments:
Post a Comment