My Web

Emmanuel

CONTACT

Thursday, June 25, 2015

KONGAMANO LA KIMATAIFA LA SAYANSI, TEKNOLOJIA NA UBUNIFU UKUMBI WA KIMATAIFA WA JULIUS NYERERE JIJINI DAR ES SALAAM


 Rais Jakaya Kikwete akihutubia wakati akifungua Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam Jumatano.
 Rais Jakaya Kikwete akihutubia wakati akifungua Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam Jumatano.
 Rais Jakaya Kikwete akihutubia wakati akifungua Kongamano la nne la Kimataifa la Sayansi, Teknolojia na Ubunifu katika ukumbi wa Kimataifa wa Mwalimu Julius Nyerere Dar es Salaam Jumatano.

Wednesday, June 10, 2015

HAKIKA HUWEZI ZUIA MAFURIKO KWA MIKONO

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, Mh. Edward Lowassa, akipungia mkono maelfu ya wana CCM na wananchi wa Musoma, alipowasili uwanja wa ndege wa Musoma Juni 9, 2015, kuendelea na kampeni yakle ya kuomba wana CCM wamdhamini baada ya kuchukua fomu za kuomba kuteuliwa na CCM kuwania nurais wa Tanzania kwenye uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25, 2015
Lowassa, (kulia), akiwatuliza wana CCM na wananchi wa Musoma, waliojaribu kuvunja geti ili walao wapate kugusana naye alipowasili uwanja wa ndege wa Musoma, Juni 9, 2015, kwa nia yabkuomba wana CCM wamdhamini
Wana CCM na wananchi wa Musoma, wakipiga kelele kumwita Mh. Lowassa, ili awasogelee kumsalimia huku wakiwa nje ya geti la uwanja wa ndege wa Musoma

Friday, June 5, 2015

Hii Ndio Kamati Kuu (CC) ya CCM, itakayopitisha Majina Matano ya Wagombea Urais

Hii ndio Kamati Kuu (CC) ya CCM itakayopitisha majina matano ya wagombea uraisi kwa ajili ya kupigiwa kura na NEC kupata mgombea mmoja.
1. Jakaya Mrisho Kikwete
2. Dr. Ally Mohamed Shein
3. Phillip Japhet Mangula
4. Abdulrahman Kinana
6. Dr. Mohamed Ghalib Bilal
7. Mizengo Kayanza Peter Pinda
8. Balozi Seif Ali Iddi
9. Anna Semamba Makinda
10. Pandu Amir Kificho
11. Rajab Luhwavi
12. Vuai Ali Vuai
13. Nape Moses Nnauye
14. Mohammed Seif Khatibu
15. Zakhia Hamdan Meghji
16. Asha Rose Migiro
17. Sophia Simba
18. Sadifa Juma Khamis
19. Abdallah Majura Bulembo
20 Jenister Mhagama
21. William Lukuvi
22. Steven Masato Wasira
23. Emmanuel John Nchimbi
24. Pindi Chana
25. Jerry William Slaa
26. Adam Kimbisa
27. Shamsi Vuai Nahodha
28. Hussein Ally Mwinyi
29. Maua Daftari
30. Samia Suluhu
31. Salim Ahmed Salim
32. Makame Mbarawa
33. Hadija Abood
Nafasi zilizo wazi:
34. Anna Kajumulo Tibaijuka (ametolewa kutokana na kashfa ya Escrow)
35. Salmin Awadhi (amefariki)
Kabla ya mabadiliko ya katiba ya mwaka 2012 wenyeviti wastaafu (taifa) na makamu wenyeviti wastaafu (taifa) walikuwa wajumbe wa kamati kuu.
Kwa sasa wana nafasi yao kama Baraza la Ushauri ambalo wajumbe wake ni hawa wafuatao:
1. Ally Hassan Mwinyi - Mwenyekiti
2. Pius Msekwa - Katibu
3. Benjamin William Mkapa - Mjumbe
4. Aman Abeid Karume - Mjumbe
5. Dr. Salmin Amour - Mjumbe
Hawa wazee wa Baraza la Ushauri wana nafasi yao katika ushauri kwa kamati kuu kuhusu wagombea urais. Vikao vyao havina kalenda hukutana tu pale linapokuwa jambo muhimu na mahususi linalohitaji mawazo yao.

Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli Edward LOWASSA, ACHUKUA FOMU ZA KUWANIA URAIS


 Waziri Mkuu wa zamani na Mbunge wa Monduli, ambaye tayari ametangaza nia ya kuwania urais wa Tanzania, Edward Lowassa, akionyesha koba lenye fomu za kuwania nafasi hiyo kupitia CCM, baada ya kukabidhiwa makao makuu ya chama hicho mjini Dodoma, Alhamisi Juni 4, 2015. Kulia ni kewe Mama Regina Lowassa. (Picha na Khalfan Said)
  Waziri Mkuu mstaafu, Edward Lowassa akionyesha mkopo wenye fomu za kuwania kiti cha urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

New