My Web

Emmanuel

CONTACT

Wednesday, January 13, 2016

Samatta afanyiwa party iliyopewa jina la Samatta Party

IMG_20160112_232125

Zawadi ya Samatta kwa Waziri mkuu ikipokelewa na waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi

Headlines za Mbwana Samatta kushinda tuzo ya mchezaji bora wa Afrika kwa wachezaji wa ndani ya Afrika, bado inazidi kuleta furaha kwa wapenzi, mashabiki, watanzania na viongozi wa serikali kwa ujumla. Usiku wa January 12 Mbwana Samatta alifanyiwa party iliyopewa jina la Samatta Party. Party ilifanyika na serikali kutangaza kumpatia zawadi ya kiwanja Kigamboni na siku kadhaa mbele atakabidhiwa hati.

IMG_20160112_232228

Mkuu wa idara ya Vodacom kanda ya Pwani Harrieth Koka akiwa katika picha ya pamoja na Samatta

IMG_20160112_232252

Mshindi wa Big Brother Afrika Idris Sultan akiwa na Samatta

IMG_20160112_231625

IMG_20160112_231648

Mwenyekiti wa kamati ya usajili ya Simba Zacharia Hans Pope kushoto na mwandishi wa habari za michezo Saleh Ally

IMG_20160112_231728

IMG_20160112_231754

Samatta katikati, kushoto waziri wa michezo Nape Nnauye na waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi

IMG_20160112_231815

IMG_20160112_232012

Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi akithibitisha serikali kumzawadia fedha na kiwanja maeneo ya Kigamboni.

IMG_20160112_231838

IMG_20160112_231857

IMG_20160112_231916

IMG_20160112_231936

Thomas Ulimwengu alikuwepo pia kumsapoti Samatta

No comments:

Post a Comment

New