My Web

Emmanuel

CONTACT

Thursday, April 2, 2020

maambukizi ya COVID19

Watoto wako Katika hatari kubwa ya kupata maambukizi ya COVID19 

Kama sisi walezi ama wazazi hatutokua Makini, kuwahakikishia Usalama wao, 

Ugonjwa huu unazidi kukua siku Hadi siku, 

walinde wanao waepushe na maeneo ambayo Kuna mikusanyiko, Wanapocheza Mpira, wafanye waweze kukaa Nyumbani. Ikibidi kuwa mkali ili kuwalinda na maambukizi ya Corona COVID 19

hakikisha Wana Nawa Kwa Sabuni Mara kwa mara 


No comments:

Post a Comment

New