My Web

Emmanuel

CONTACT

Sunday, May 27, 2012

machafuko yalivyoharibu vitu Kanisa, Gari la Askofu vyaunguzwa moto



Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG) lililopo mtaa wa Kariakoo mjini Unguja limechomwa moto usiku wa kuamkia leo.

Gari la Kiongozi wa Kanisa la Tanzania Assemblies of God (TAG), Bishop Dickoson Maganga lililochomwa moto usiku wa jana katika eneo la Kariakoo nje ya kanisa hilo.

Kikosi cha Kuzuia Ghasia (FFU), kikizunguka katika maeneo ya Michenzani kuimarisha ulinzi ambapo tayari jeshi la polisi limepiga marufuku mikusanyiko yoyote.


No comments:

Post a Comment

New