My Web

Emmanuel

CONTACT

Friday, May 4, 2012

MASTAA WA NCHI SABA ZA AFRIKA WATAKAOSHIRIKI BIG BROTHER MWAKA HUU.


Barbz kutoka South Afrika (Model na mfanyabiashara)


Breaking news kutoka Multichoice ni kwamba jumba la Big Brother ambalo linaanza kazi jumapili inayokuja litakua na mastaa saba wa nchi mbalimbali za Afrika ambao wataingia jumapili na kushiriki kama kawaida, yani sio kwa kipindi kifupi… wao pia ni sehemu ya washiriki wa shindano hilo linaloshirikisha nchi 14 za Afrika.
Tanzania haijawekwa kwenye list ya hao mastaa saba na hakuna taarifa za ziada kuhusu hilo lakini kuna uwezekano BBA wakafanya surprise.

Mwimbaji Lady May kutoka Namibia.

Mampi kutoka Zambia (Mwimbaji)

CMB PREZZO kutoka Kenya. (Msanii)

Goldie kutoka NIGERIA (Mwimbaji)

DKB kutoka Ghana (Mchekeshaji wa Stand up Comedy)

Roki kutoka Zimbabwe (Mwanamuziki)

No comments:

Post a Comment

New