My Web

Emmanuel

CONTACT

Friday, May 4, 2012

MUUNDO MPYA WA JUMBA LA BIG BROTHER AFRICA MWAKA HUU.





Hii ni sehemu ya jumba la BBA mwaka huu ambapo shindano hilo linaanza rasmi May 6 Afrika kusini ambapo itakua inaonyeshwa 24/7 kwa siku 91 kwenye DStv channel 198 huku time hii watu wakienda wawili wawili na mshindi akiondoka na USD 300 000.

Game inaanza saa tatu usiku wa May 6 2012.


.

No comments:

Post a Comment

New