My Web

Emmanuel

CONTACT

Monday, May 14, 2012

MTANZANIA APIGWA NA WACHINA KATIKA HOTEL YA DONGFEE CHINA

Mtanzania apigwa na wachina na kumpasua kichwani kwa madai
kwamba kamshika matiti mwanamke mmoja katika Hotel ya Dongfee China.
hiyo iliokea jana akiwa katika Hoteli ya Dongfee China wachina hao wampatia
kipigo kikali ambacho kimempelekea kulazwa Hospitali ya
HAMFULU HOSPITAL. na kuwekewa Machine ya Hewa na bado

kesi yake aijafanyika. inaelezeka Mr. Kibiki ni mtu wa
Iringa na ni Mchungaji


Hapa Mr KIBIKI akiwa amechafuka Damu baada ya kupokea
kipondo toka kwa Wachina

Hapa Mr. KIBIKI baada ya wachina kumpiga


Sehemu ambayo Mr KIBIKI alipigiwa na wachina na hiyo ndio
Damu iliyommwagika


Hapa Mr KIBIKI akihudumiwa baada ya kufikishwa
HAMFULU HOSPITAL

Hapa Mr KIBIKI akiwa kashatibiwa na kupumzika
HAMFULU HOSPITAL


Hapa Mr KIBIKI kawekewa oksijeni wakati akiwa anatibiwa




Video ya Mr. Kibiti akiwa amepigwa


Video nyingine ya Mr. Kibiti


Video ya Mr. Kibiti akielezea alivyopigwa

No comments:

Post a Comment

New