My Web

Emmanuel

CONTACT

Saturday, March 10, 2012

JANET SOSTENES AFUNIKA WAKATI WA UZINDUZI WA KIPINDI CHAKE CHA ‘ONGEA NA JANET

Sehemu maalum iliyoandaliwa na kupambwa na Red Carpet kwa ajili ya hafla ya uzinduzi wa kipindi kipya cha Ongea na Janet uliofanyika Chichi Hoteli Kinondoni jijini Dar es Salaam. Kipindi hiki kitakuwa kikirushwa na Clouds TV kila siku ya Jumatatu Saa tatu kamili.
Pichani Juu na Chini wageni waalikwa wakiangalia Kipindi cha Ongea na Janet ikionyeshwa kwa wadau kwa mara ya kwanza.
Mtangazaji wa Kipindi cha Ongea na Janet Bi. Janet Sostenes akielezea madhumuni ya kipindi hicho na changamoto anazo kabiliana nazo wakati wa utayarishaji ambapo pia amewataka watu binafsi, kampuni na wapenda maendeleo kujitokeza kutoa udhamini ili kufanikisha lengo lililokusudiwa.
Msanii wa Bongo Movie Cloud akibadilishana mawazo na AY wakati wa hafla ya uzinduzi wa Kipindi cha Ongea na Janet.
Marafiki wa Karibu wa Janet.
Isack Gamba wa ITV/ Radio One akibadilishana mawazo na Mr. Donald Talawa.
Isack Gamba akiongoza marafiki wa Janet kupata msosi.
Msosi time.

No comments:

Post a Comment

New