My Web

Emmanuel

CONTACT

Sunday, August 26, 2012

JK AHESABIWA SENSA YA WATU NA MAKAZI NYUMBANI KWAKE IKULU


 Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akiwa amepokea fomu kutoka kwa Kamishna wa Sensa 
Tanzania, Amina Mrisho, tayari kuhesabiwa katika Sensa ya Watu na Makazi nyumbani 
kwake Ikulu, Dar es Salaam leo. Rais na familia yake walihesabiwa kwa siri  na Karani 
wa Sensa, Clement Ngallaba. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
 Rais Kikwete na mkewe Mama Salma wakiondoka kwenda chumba maalumu kwa 
ajili ya kuhesabiwa
Rais Jakaya Kikwete akihamasisha wananchi kujitokeza kuhesabia mara baada ya kutoka 
kuhesabiwa yeye na familia yake, nyumbani kwake Ikulu, Dar es Salaam leo. Kulia kwake 
ni  mkwewe Mama Salma Kikwete

No comments:

Post a Comment

New